Buk Bak

Buk Bak Ni kundi la muziki la Ghana lililoundwa na Prince Bright, Isaac Shoetan na Ronny Coaches , Walirap katika Ga, Twi, na Pidgin, na walikuwa kundi la kwanza la wanahiplife nchini Ghana kufaulu kwa maneno ya Ga . [1]

Kufikia mnamo mwaka 2006, wote wawili walikuwa wakifanya miradi binafsi. Bright na Ronny waliungana tena mnamo mwaka wa 2012 kurekodi albamu yao ya mwisho kama kikundi, Fisherman Anthem . Kikundi cha awali kilikuwa na wanachama zaidi, ambao baadhi yao wameunda vikundi kama 4x4 . Kikundi kiligawanyika mnamo Novemba mwaka 2013, baada ya kifo cha Ronny Coaches . [2][3]

  1. "Sad News: Roonie Coaches of Buk Bak Fame Is Dead!". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-24. Iliwekwa mnamo Novemba 21, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "BUK BAK's Ronnie Coaches is dead". Iliwekwa mnamo Desemba 4, 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Quist, Wola (3 Agosti 2019). "10 Buk Bak songs that will forever be played". Ghana Music. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-17. Iliwekwa mnamo 12 Mei 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search